TIE-aligned full scheme. View the complete scheme below, then get your clean PDF via M-Pesa, other mobile money, WhatsApp or our website.
Your scheme of work will include the following details so you can submit it to your Head of Department:
School Name: ______________________________
Teacher's name: ______________________________ | Class: Form 1 / Kidato cha Kwanza
Academic Year: 2027
Scroll horizontally and vertically to view every week. Columns follow the official TIE / PMO-RALG format used by school inspectors.
| Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Shughuli za Ujifunzaji | Shughuli Ndogo za Kutendwa | Mwezi | Wiki | Vipindi | Rejea | Mbinu za Ujifunzaji na Ufundishaji | Zana za Ufundishaji na Ujifunzaji | Zana za Upimaji | Maoni |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1.0 Kulinda historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa | 1.1 Kueleza chimbuko la jamii za Kitanzania na maadili yake | (a) Kueleza asili ya jamii za Kitanzania (Wabantu, Wanilo, Wakushito, Wakichembe) | Taja makabila ya Tanzania na asili yao | Machi | Wiki 1 | 1 | TIE (2023) Historia ya Tanzania na Maadili, Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Kwanza | Maswali na majibu, kisa-mafunzo, utafiti mdogo, majadiliano, changanyakete, mtaalamu mwalikwa | Matini zenye kuonesha asili ya jamii za Kitanzania; ramani kuonesha mtawanyiko wa jamii za asili; vitu halisi vilivyotumiwa na jamii za asili | Mazoezi, maswali, kazi ya vikundi, kazi mradi, majaribio/majadiliano | |
| 1.0 Kulinda historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa | 1.1 Kueleza chimbuko la jamii za Kitanzania na maadili yake | (b) Kubaini shughuli mbalimbali za makundi ya asili ya jamii za Kitanzania | Baini shughuli mbalimbali za kiuchumi za makundi ya jamii za Kitanzania | Machi | Wiki 2 | 1 | TIE (2023) Historia ya Tanzania na Maadili, Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Kwanza | Maswali na majibu, kisa-mafunzo, utafiti mdogo, majadiliano, changanyakete, mtaalamu mwalikwa | Matini zenye kuonesha asili ya jamii za Kitanzania; ramani; vitu halisi | Mazoezi, maswali, kazi ya vikundi, kazi mradi, majadiliano | |
| 1.0 Kulinda historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa | 1.3 Kutumia maarifa na ujuzi wa historia na urithi kubuni fursa mbalimbali zilizopo katika jamii za Kitanzania | (a) Kubaini fursa mbalimbali zilizopo kwenye urithi wa jamii za Kitanzania | Onesha urithi wa jamii ya Kitanzania; fafanua fursa mbalimbali za kiuchumi | Mei | Wiki 1–2 | 2 | TIE (2023) Historia ya Tanzania na Maadili, Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Kwanza | Maswali na majibu, kisa-mafunzo, majadiliano, mtaalamu mwalikwa | Matini kuhusu fursa kwenye urithi wa jamii za Kitanzania; ramani | Mazoezi, maswali, kazi ya vikundi, kazi mradi | |
| 2.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili kabla ya ukoloni | 2.2 Kuchambua mifumo iliyokuza na kuendeleza uchumi na siasa katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni | (b) Kueleza jinsi mifumo ya kisiasa na kiuchumi ilivyokuza shughuli za kiuchumi na kisiasa kabla ya ukoloni | Ainisha mifumo ya maadili katika mazingira kabla ya ukoloni, na mifumo ya uchumi | Novemba | Wiki 1 | 2 | TIE (2023) Historia ya Tanzania na Maadili, Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Kwanza | Maswali na majibu, utafiti mdogo, majadiliano | Matini kuhusu fursa za kujenga ushirikiano na kukuza uchumi wa kitaifa; picha | Mazoezi, maswali, kazi ya vikundi, kazi mradi |
The table above is view-only. For the fully clean PDF file that you can submit to your Head of Department, follow the M-Pesa steps or chat with us on WhatsApp. You can also download directly from our website: clickonlineacademy.ac.tz.
Pay via M-Pesa (or other mobile money options below) to receive the full clean PDF scheme after confirmation.
M-Pesa Number: +255 754 805 256 (Stephen Amuti)
Amount: TZS 2,000
*150*00# or open the M-Pesa app / USSD menu.All confirmation messages (from M-Pesa, Mixx by Yas or Airtel Money) should be sent via the Chat On Whatsapp button below.
After paying, or if you prefer to order / ask a question, click the button below. A ready-made message will open so you only need to fill in your name and school.
Chat On Whatsapp
Pre-filled message:
“hello click online academy, I would like to order historia ya tanzania na maadili form one schemes of work for 2027, My name .............. and school is............”
(You can edit the message on WhatsApp before sending.)
You can also download schemes directly from our website: clickonlineacademy.ac.tz
This Form One Historia ya Tanzania na Maadili scheme of work follows the competence-based planning format set out by the Tanzania Institute of Education (TIE). It covers the origin of Tanzanian societies and their values, knowledge and skills of values and heritage, using historical knowledge to create opportunities, identifying opportunities for cooperation and national economic growth, and mastering Tanzanian history and values before colonialism (social systems, economic and political systems). Add your school name and term dates before submitting it to your head of department.
Kwa wastani, somo hili hufundishwa kwa kipindi 1 hadi 2 kwa wiki katika mwaka mzima.
Yes. It follows the competence-based format prescribed by the Tanzania Institute of Education for the new curriculum.
School Name, Teacher's name, Class and Academic Year. These are included so you can submit the scheme to your Head of Department.
Kwa wastani, somo hili hufundishwa kwa kipindi 1 hadi 2 kwa wiki katika mwaka mzima.
Pay via M-Pesa (+255 754 805 256 – Stephen Amuti), Mixx by Yas or Airtel Money, then send the confirmation via the Chat On Whatsapp button. You can also download directly from clickonlineacademy.ac.tz.