Syllabus na Vitabu vya TIE (Mtaala Mpya)
TIE Syllabus & Books: Primary, Secondary, Advanced
Chagua ngazi yako ili kufika kwenye syllabus na vitabu rasmi vya Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE).
TOVUTI RASMI YA TIE (SYLLABUS) TIE ONLINE LIBRARY (VITABU)
Chagua unachohitaji
Tofauti ya Syllabus na Vitabu vya TIE
Syllabus (mihtasari ya masomo) ni mwongozo wa TIE unaoeleza mada, umahiri na shughuli za kila somo; walimu huitumia kupanga ufundishaji. Vitabu vya TIE ni vitabu vya kiada vinavyofuata syllabus hiyo, kwa wanafunzi na walimu.
Kwa walimu
Baada ya kupata syllabus, pata schemes of work za 2027 kutoka Click Online Academy.
Chat On WhatsApp for 2027 Schemes
Maswali yanayoulizwa mara nyingi (FAQ)
Syllabus ni nini na vitabu vya TIE ni nini?
Syllabus ni mwongozo wa mada na umahiri kwa kila somo; vitabu vya TIE ni vitabu vya kiada vinavyofuata syllabus hiyo. Vyote vinachapishwa na TIE.
Wapi naweza kupata syllabus na vitabu rasmi vya TIE?
Syllabus: tovuti ya TIE (tie.go.tz). Vitabu: TIE Online Library (ol.tie.go.tz). Tumia vitufe vya ukurasa huu.
Je, Click Online Academy inahifadhi nyaraka za TIE?
Hapana. Tunakuelekeza kwenye vyanzo rasmi vya TIE, ili uwe na nakala sahihi zisizobadilishwa.